
<p>MUTUAL GENERATION INTERNATIONAL (MGI) imezidi kuimarisha ushirikiano baina yake na Chuo kikuu cha Dar es salaaam (UDSM) kwa kupanda miti zaidi ya 500+ kwa lengo la kufanya *UDSM ya Kijani* na kuzuia mmong'onyoko wa Udongo katika mazingira ya chuo na kufanya kuwa na maeneo rafiki kwaajili ya kujifunzia kwa Maendeleo ya Taifa letu.</p><p>Aidha MGI inawashukuru wote waliofanikisha jambo hili Asanteni sanaðŸ™ðŸ™ðŸ™ðŸ™</p><p>#Uzalendo, Upendo na Amani kwa Nchi.</p>